Thursday, October 14, 2010

Nani hasa anauchungu wa kweli na wananchi wa Taifa hili?

Kutokea facebook haya ndio majibu ya vijana wa  Tanzania.....fuatilia mjadala huu


Frederick Fussi Nani hasa anauchungu wa kweli na wananchi wa Taifa hili?

12 hours ago  ·  · 

    • Glen Kapya Dr.Slaa.........
      12 hours ago · 

    • James Israel nafikiri mwenye uchungu kaka lazima uanze na wewe kwa muonekano wako ndipo mwengine ajifunze toka kwako
      12 hours ago · 

    • Ghian Carter Slaa wa Chadema
      12 hours ago · 

    • Frederick Fussi Israel hapo umenena ukweli lakini sasa nani aliyetayari kuanza?nadhani pia unatakiwa kuwa na uchungu bila kujionyesha kwa watu na watu wakuone wenyewe. Nimeangalia Komedi Original usiku wa leo nimeona namna watu wanavyotaka kuonekana na uchungu na masikini pale Mpoki alipokwenda kutembelea masikini akiwa na paparazi ili ampige picha itoke gazetini!
      11 hours ago · 

    • Don Arnolds wanachi wenyewe hamna mwanasiasa hata mmoja mwenye dhati hii
      10 hours ago · 

    • Frederick Fussi Don kwa maana yako hata wewe mwenyewe huna uchungu?
      10 hours ago · 

    • Don Arnolds mimi sii mwana siasa na uchungu wangu si sawa na yule aishie chini ya $ kwa siku na huo ndo ukweli wa mambo hamna chama wala kiongozi alietoa utatuzi wa kuridhisha lakini hayo maoni yangu tu
      10 hours ago · 

    • Glen Kapya Mi nahisi kila mtu ana Uchungu na Nchi...Sema sasa kuna aina mbalimbali za Uchungu...mana matabaka yote yapo ego-defensive...sasa egoism inapozidi ndo clash inatokea na kuanza kupimana nani ana uchungu nani hana....
      9 h



        • Mosses Hajji Mussa ‎@ Fussi....swali tata!
          13 hours ago · 

        • Innocent Nyamfulula ‎@fusi... We unafikir nan ana uchungu?
          13 hours ago · 

        • Glen Kapya Wanao Muenzi Mwalimu kwa Vitendo..(Complex Sentence)!
          13 hours ago · 

        • Innocent Nyamfulula ‎@glen... Na wanaomuenzi kwa vitendo ni akina nan?
          13 hours ago · 

        • Ghian Carter wana CCM sidhani, labda wana CHADEMA
          13 hours ago · 

        • Frederick Fussi Hoja ya wana CCM au CHADEMA naomba tusiipe kipaumbele, kumbuka hivyo ni vyama vya siasa vinavyoundwa na wananchi waishio Tz! tumtafute mtu! ni nani huyu?
          13 hours ago · 

        • Glen Kapya Wale wanaofanya kila aina ya shughuli za Kimaendeleo wakiweka maslahi ya Taifa kwanza....Nafikiri Ndugu Innocent!
          13 hours ago · 

        • Frederick Fussi Leo hii tunapomkumbuka Nyerere hatuiongelei TANU wala CCM pamoja na kuwa alishiriki kuviunda vyama vyote viwili. Nyerere ni zaidi ya CCM. Nataka kujua nani hasa anauchungu na wananchi walala hoi wa Taifa hili.?
          13 hours ago · 

        • Frederick Fussi ‎@Glen hapo kidogo najaribiwa kushawishika but Mmmhh let me keep on thinking!
          12 hours ago · 

        • Pius Chale Mtu mwenye uchungu na nchi hii ni yule mwenye kuheshimu,kulinda na kutetea katiba kwa vitendo.Pia ni yule mwenye kujali maslahi ya umma zaidi na si maslahi binafsi hasa linapokuja suala la nchi.PIA ni yule mwenye kupambana kwa vitendo dhidi ya misingi yenye kutishia ustawi wa nchi kama vile ufisadi,rushwa,ukabila,udini na ubinafsi ktk uongozi.PIA ni yule mwenye kulinda na kutetea kwa vitendo misingi yenye kuleta ustawi wa nchi kama vile utawala wa sheria,demokrasi,utawala bora na umoja wa waTZ bila kujali dini,rangi wala kabila.
          12 hours ago · 

        • Ghian Carter ebu nika Google swali lenu..
          12 hours ago · 

        • Frederick Fussi ‎@Ghian Umesha google search? mwenzako James Israel ametoa jibu la uhakika nami nimelikubali! sijui wewe baada ya google utakuja na jibu lipi?
          11 hours ago · 

        • Adam Anthony ‎@Fred, tatizo tumekua washabiki wa siasa kama ushabiki wa simba na yanga. Wengi hatufahamu kwamba siasa ni maisha yetu at stake tunayoentrust kwa watu wengine who unfortunately do not happen to care....who would have believed that a leader would feel obliged to tell people that politics is all about winning...this is the attitude of the cheapest nature a leader to have especially when u contest for a higher position!
          10 hours ago · 

        • Pius Chale Na mtu niliyemuongelea hapo c mwingine bali ni mimi,wewe na yule(wote tukiwa na nia thabiti ya kuendelea kuuwasha mshumaa wa amani,upendo na umoja wa Tz ktk kilele cha mlima kilimanjaro ili upate kumulika toka kusini hadi kaskazini,pia kumulika hata mashariki hadi magharibi)@fussi
          10 hours ago · 

No comments:

Post a Comment